shimo inaweza kutokea kama hitilafu ambako halitakiwi kuwepo, mfano shimo kwenye jino, barabarani, kwenye sufuria
shimo inaweza kutengenezwa kwa muda mfano shimo kwenye ardhi kwa kupanda mti humo, kuunda msingi mle, kwenye mtambo au jengo kwa kusudi la kuweka hapa skrubu
mashimo mengine ni lazima; mfano shimo la sauti kwenye ala za muziki kama gitaa, shimo la kuingiza hewa katika boksi la kubeba vifaranga, mashimo kwenye uwanja wa gofu unapotakiwa kufikisha mpira
wakati mwingine neno "shimo" latumiwa kutaja kitu kisicholingana na ufafanuzi wa shimo mwenyewe, mfano "shimo jeusi" katika astronomia
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana
Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.