Sochi

Jiji la Sochi
Majiranukta: 40°53′16″N 74°2′53″W / 40.88778°N 74.04806°W / 40.88778; -74.04806
Nchi Urusi
Mkoa Krasnodar Krai
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 328,809
Tovuti:  www.sochiadm.ru
Bandari ya Sochi

Sochi ni mji wa Urusi katika mkoa wa Krasnodar Krai. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, mji una wakazi wapatao 330,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 30 kutoka juu ya usawa wa bahari.


Sochi

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne