Wilaya ya Songea ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Ruvuma.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 147,924 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 178,201 [2].
Songea Vijijini