Sumbawanga Mjini ni wilaya mojawapo kati ya 4 za Mkoa wa Rukwa, nchini Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 147,483 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 303,986 [2].
- ↑ [1]
- ↑ https://www.nbs.go.tz