| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Maka-Diyos, Makatao, Makakalikasan, at Makabansa ("Kwa Mungu, watu, mazingira na nchi") | |||||
Wimbo wa taifa: Lupang Hinirang ("Nchi teule") | |||||
Mji mkuu | Manila | ||||
Mji mkubwa nchini | Quezon City | ||||
Lugha rasmi | Kitagalog na Kiingereza* | ||||
Serikali | Jamhuri Rodrigo Duterte Leni Robredo | ||||
Uhuru Ilitangazwa kujitawala Ilitambuliwa Katiba |
12 Juni 1898 24 Machi 1934 4 Julai 1946 2 Februari 1987 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
300,000 km² (ya 73) 0.64 | ||||
Idadi ya watu - 2015 kadirio - 2010 sensa - Msongamano wa watu |
102,291,200 (ya 12) 92,337,852 340.97/km² (ya 43) | ||||
Fedha | Philippine peso (piso) (PHP )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
PST (UTC+8) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .ph | ||||
Kodi ya simu | +63
| ||||
* Kicebuano, Kiilokano, Kihiligaynon, Kibikol, Kiwaray-waray, Likapampangan, Kipangasinan, Kinaray-a , Kimaranao , Kimaguindanao, Kitagalog, Kitausug ni lugha rasmi kieneo. Kihispania na Kiarabu hutambuliwa kwa msingi wa matumizi ya hiari. |
Ufilipino (kwa Kitagalog: Pilipinas), ni nchi ya kisiwani kwenye Funguvisiwa la Malay katika Asia ya Kusini-Mashariki.