| |||||
Kaulimbiu ya taifa: (hakuna) | |||||
Wimbo wa taifa: A Portuguesa | |||||
Mji mkuu | Lisbon (Lisboa) | ||||
Mji mkubwa nchini | Lisbon | ||||
Lugha rasmi | Kireno1 | ||||
Serikali | Jamhuri Marcelo Rebelo de Sousa Luís Montenegro | ||||
Formation Uhuru |
24. Juni 1128 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
92,391 km² (ya 111th) 0.5% | ||||
Idadi ya watu - Julai 2014 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
10,427,301 (ya 83) 10,562,178 115/km² (ya 97) | ||||
Fedha | Euro (€)2 (EUR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
WET3 (UTC) EST (UTC+1) | ||||
Intaneti TLD | .pt | ||||
Kodi ya simu | +351
- | ||||
1Kimiranda imetambuliwa kama lugha rasmi katika eneo ndogo la Ureno ya kaskazini (sheria N.º 7/99). 2Hadi 1999: Escudo ya Ureno 3Azori: UTC-1; UTC in summer |
Ureno (kwa Kireno Portugal) ni nchi kwenye pembe ya kusini magharibi kabisa ya Ulaya. Upande wa magharibi na kusini imepakana na Bahari ya Atlantiki, na upande wa mashariki na kaskazini imepakana na Hispania.
Mafunguvisiwa ya Atlantiki ni pia sehemu za Ureno. Visiwa hivyo ni Azori kati ya Ulaya na Amerika na Visiwa vya Madeira vilivyoko katika sehemu ya Afrika ya Atlantiki.