Utatu

Picha takatifu inayodokeza fumbo la Utatu kwa kuchora malaika watatu waliolakiwa na Abrahamu huko Mambre. Ilichorwa na mmonaki mtakatifu Andrej Rublëv (1360-1427) na kwa sasa inatunzwa Moscow, Tretjakow Gallery.
Mchoro wa Kilatini unaofafanua umoja wa Mungu na tofauti za nafsi zake tatu katika mafungamano yao.


Utatu au Utatu mtakatifu ni hali ya kuwa Watatu katika umoja kamili.

Jina hilo la kiteolojia linatumika hasa kufafanulia imani ya Wakristo wengi kwamba Mungu pekee, sahili kabisa, ni Nafsi tatu zisizotenganika kamwe: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.


Utatu

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne