Vadodara ni jiji la jimbo la Gujarat nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.7 (2011). Ni mji mkubwa wa ishirini nchini Uhindi.
Vadodara