Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi.
Lugha yao ni Kimachinga.[1]
Inasadikiwa asili ya kabila hili ni kandokando ya ziwa Mkoe, hasa mto Mbwemkuru unapoingia baharini.[2]
- ↑ "Historia | Lindi Region". lindi.go.tz. Iliwekwa mnamo 2024-01-13.
- ↑ "Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi". JamiiForums (kwa American English). 2021-10-25. Iliwekwa mnamo 2024-01-13.