Warren Harding | |
![]() | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1921 – Agosti 2, 1923 | |
Makamu wa Rais | Calvin Coolidge |
mtangulizi | Woodrow Wilson |
aliyemfuata | Calvin Coolidge |
Muda wa Utawala Machi 4, 1915 – Januari 13, 1921 | |
tarehe ya kuzaliwa | Ohio, Marekani | Novemba 2, 1865
tarehe ya kufa | 2 Agosti 1923 (umri 57) San Francisco |
chama | Republican |
mhitimu wa | Ohio Central College |
signature | ![]() |
Warren Gamaliel Harding (2 Novemba 1865 – 2 Agosti 1923) alikuwa Rais wa 29 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1921 hadi 1923. Kaimu Rais wake alikuwa Calvin Coolidge aliyemfuata kama Rais, Harding alipofariki wakati wa awamo yake.