Wilaya ya Arumeru ilikuwa moja ya wilaya za Mkoa wa Arusha. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Arumeru ilihesabiwa kuwa 516,814 [1].
Tangu mwaka 2007 wilaya imegawiwa kuwa chini ya halmashauri za wilaya ya Arusha Vijijini na wilaya ya Meru.