Wilaya ya Arusha (kwa Kiingereza: Arusha District) ni halmashauri mojawapo ya Mkoa wa Arusha yenye postikodi namba 23200. Ilianzishwa kwa kutenga maeneo ya wilaya ya Arumeru yanayozugunguka Jiji la Arusha.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya ya Arusha ilihesabiwa kuwa 800,198 [1] Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 449,518 [2].