Wilaya ya Babati ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Manyara.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Babati ilihesabiwa kuwa 303,013 [1]
Mwaka 2012 wilaya hiyo ilimegwa ili kuunda Wilaya ya Babati Mjini (Babati Town Council). Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi waliobaki upande wa vijijini walihesabiwa 375,200 [2].