Wilaya ya Chake Chake ni wilaya mojawapo kati ya 2 za Mkoa wa Pemba Kusini Tanzania yenye postikodi namba 74200 .
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 136,298 [1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 97,249 [2]. Makao makuu yapo mjini Chake Chake.