Wilaya ya Mlimba ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67500.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 407,880.[1] Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 292,536 tu, kutokana na uanzishwaji wa wilaya ya Ifakara Mjini, yalipokuwa makao makuu ya wilaya ya Kilombero [2].