Manisipaa ya Nyamagana ni wilaya mojawapo kati ya mbili zinazofanya kwa pamoja Jiji la Mwanza kwenye Mkoa wa Mwanza, nyingine ni manisipaa ya Ilemela.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 363,452 waishio humo. [1]
Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza kwa tarakimu 332.. .