William McKinley | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1897 – Septemba 14, 1901 | |
Makamu wa Rais |
|
mtangulizi | Grover Cleveland |
aliyemfuata | Theodore Roosevelt |
tarehe ya kuzaliwa | Niles, Ohio, Marekani. | Januari 29, 1843
tarehe ya kufa | 14 Septemba 1901 (umri 58) Buffalo, New York, Marekani. |
mahali pa kuzikiwa | McKinley National Memorial, Canton, Ohio |
chama | Republican Party |
ndoa | Ida Saxton McKinley (m. 1871) |
mhitimu wa |
|
Fani yake |
|
signature |
William McKinley (29 Januari 1843 – 14 Septemba 1901) alikuwa Rais wa 25 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1897 hadi 1901. Kaimu Rais wake alikuwa Garret Hobart (1897-1899), na Theodore Roosevelt (tangu 1901) aliyemfuata kama Rais, McKinley alifariki wakati wa awamu yake ya pili.