Ziwa Chala mpakani mwa Kenya na Tanzania.
Picha kutoka juu.
Ziwa Chala (pia: Dschalla,[1]) ni moja kati ya maziwa ya Tanzania na ya Kenya.
Limepatikana katika kaldera ya volkeno[2].
3°19′S 37°41′E / 3.317°S 37.683°E / -3.317; 37.683
- ↑ Susan Carter; A. R. Smith (1 Juni 1988). Flora of Tropical East Africa - Euphorbiac v2 (1988). CRC Press. uk. 425. ISBN 978-90-6191-338-2.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
- ↑ "Tanzania » Places Of Interest » Lake Chala". go2africa.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-22. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)