Gatundu | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Kaunti ya Kiambu |
Wilaya | Wilaya ya Gatundu |
Eneo bunge | Gatundu Kusini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 20,000 (haijahakikishwa) |
Gatundu ni mji uliopo eneo la kati la Kenya katika Kaunti ya Kiambu. Mji huu una umaarufu kwa kuwa rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta na mwana wake rais Uhuru Kenyatta, waliishi karibu na hapa. Unapatikana juu ya kilima kilichozingirwa na Mto Thiririka na Mto Muthurumbi.