Ileret ni kijiji cha kaunti ya Marsabit, Kenya kaskazini. Pia ni kata ya eneo bunge la Horr Kaskazini[1].