Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kiahirani
Kiahirani ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Waahirani. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiahirani imehesabiwa kuwa watu 1,870,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiahirani iko katika kundi la Kikhandesi.