Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kiakoose
Kiakoose ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waakoose. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiakoose imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiakoose iko katika kundi la A10.