Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kijuang
Kijuang ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wajuang. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kijuang imehesabiwa kuwa watu 23,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijuang iko katika kundi la Kimunda.