Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Kilokoya
Kilokoya ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Walokoya. Idadi ya wasemaji wa Kilokoya imehesabiwa kuwa watu 12,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilokoya iko katika kundi la Kinilotiki.