Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Rongo

Rongo.

Rongo ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Migori, haya ndiyo maeneo ya watu wa Kamagambo. Rongo ni mji ambao umenawiri kwa ukulima wa miwa.

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 82,066[1].

  1. Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.

Previous Page Next Page






Rongo, Kenya English Rongo (Kenia) Spanish Rongo Polish Rongo, Khenya ZU

Responsive image

Responsive image