Nchi | Uajemi (Iran) |
Jimbo / Mkoa | Fars |
Anwani ya kijiografia | 29°37′N 52°32′E / 29.617°N 52.533°E |
Eneo | km² 240 |
Wakazi | 1,565,572 |
Msongamano wa watu | 6670/km² |
Simu | 071 |
Tovuti rasmi | www.shiraz.ir |
Shiraz ni mji mkubwa na muhimu nchini Uajemi (Iran). Ni jiji lenye watu milioni 1.4 hivi na mji mkuu wa eneo la Farsi.