Kixhosa

Kixhosa ni lugha ya Kibantu hasa nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Waxhosa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kixhosa nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 7,790,000. Pia kuna wasemaji nchini Botswana na Lesotho. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kixhosa iko katika kundi la S40.


Kixhosa

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne