Simbamangu

Simbamangu
Simbamangu (Caracal caracal)
Simbamangu (Caracal caracal)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Felidae (Wanyama walio na mnasaba na paka)
Nusufamilia: Felinae (Wanyama wanaofanana na paka)
Jenasi: Caracal
Gray, 1843
Spishi: C. caracal
(Schreber, 1776)
Msambao wa simbamangu
Msambao wa simbamangu

Simbamangu (Caracal caracal) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae.


Simbamangu

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne