| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Ko e 'Otua mo Tonga ko hoku tofi'a ("Mungu na Tonga ni urithi wangu") | |||||
Wimbo wa taifa: Ko e fasi 'o e tu'i 'o e 'Otu Tonga | |||||
Mji mkuu | Nuku'alofa | ||||
Mji mkubwa nchini | Nuku'alofa | ||||
Lugha rasmi | Kitonga, Kiingereza | ||||
Serikali | Ufalme Tupou VI Siaosi Sovaleni | ||||
Ufalme Uhuru |
4 Juni 1970, kutoka nchi lindwa chini ya Uingereza | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
748 km² (ya 175) 4 | ||||
Idadi ya watu - [[]] kadirio - 2021 sensa - Msongamano wa watu |
(ya 199) 100,209 139/km² (ya 761) | ||||
Fedha | Pa'anga (TOP )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+13) (UTC+13) | ||||
Intaneti TLD | .to | ||||
Kodi ya simu | +676
- | ||||
1 Takwimu za 2005. |
Tonga ni nchi ya visiwani ya Polynesia katika Pasifiki ya kusini yenye wakazi 102,321.
Eneo lake ni funguvisiwa lenye visiwa 169 kusini kwa Fiji na Samoa na kaskazini kwa New Zealand. Visiwa 52 tu vina wakazi (100,000 hivi).