Yangon (pia:Rangun) ni mji mkubwa wa Myanmar. Ilikuwa mji mkuu wa nchi hadi 2005.
Kuna wakazi zaidi ya milioni 4. Mji uko kando la mto Hlaing karibu na bahari.
Yangon